Skip to main content

Mnara wa Babeli Maelezo ya kiimani | Simulizi la Mwanzo 11, 1-9 | Viungo vya Nje | UrambazajiMnara wa BabeliThe Encyclopedia of BabelGenesis 11 (KJV)The Tower of BabelBabel In Biblia: The Tower in Ancient Literature by Jim RoviraIs there archaeological evidence of the Tower of Babel?-Christian Source.Our People: A History of the Jews - The Tower of BabelLivius.org: The tower of BabelTower of Babel

BibliaMesopotamiaUstaarabu


BibliaKitabu cha MwanzoBabelimjigharika kuuBinadamuMungulughapiramidiziguratMesopotamiaWayahudiWakristohadithikiburidhambiMwinjili LukaMatendo ya MitumeAgano JipyaPentekosteRoho Mtakatifu










Mnara wa Babeli


Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jump to navigation
Jump to search




Mnara wa Babeli ulichorwa mara nyingi na wasanii kama katika picha hii ya Pieter Brueghel Mzee.


Mnara wa Babeli ni jengo kubwa linalotajwa katika Biblia kwenye Kitabu cha Mwanzo 11:1-9. Kufuatana na taarifa hii mnara ulijengwa pamoja na mji wa Babeli kama kilele chake.


Katika mapokeo ya Mwanzo 11 Babeli ulikuwa mji wa kwanza uliojengwa baada ya gharika kuu. Binadamu waliamua kuwa na jengo kubwa katika mji na kilele chake kifike mbinguni. Mpango huu haukumpendeza Mungu aliyechanganya lugha ya watu ambao hivyo walilazimika kuachana baadaye bila ya kukamilisha mnara wao.


Kihistoria si wazi ni kipindi gani kinachoangaliwa katika simulizi la Mwanzo 11. Inaonekana ya kwamba wasimulizi walikuwa na habari za piramidi au zigurat kubwa zilizokuwepo Babeli na penginepo katika Mesopotamia.



Maelezo ya kiimani |


Simulizi limechukuliwa kwa njia mbalimbali katika mapokeo ya Wayahudi na Wakristo.


Moja ni kwamba hadithi hiyo inafundisha kwamba kiburi na dhambi kwa jumla vinatenganisha watu wasiweze kuelewana wala kuishi pamoja. Isipokuwa si wazi dhambi ni ipi.


Kwa Wakristo Mwinjili Luka katika kitabu cha Matendo ya Mitume kwenye Agano Jipya alitumia mfano wa mnara kama kinyume cha matokeo ya siku ya Pentekoste ambako watu kutoka lugha mbalimbali walipata kuelewana kwa msaada wa Roho Mtakatifu.



Simulizi la Mwanzo 11, 1-9 |


11,1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.

2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.

3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.

4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.

5 BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.

6 BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.

7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

8 Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.

9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.



Viungo vya Nje |



Commons-logo.svg

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Mnara wa Babeli




  • The Encyclopedia of Babel - collection of references to Babel in history, arts and literature

  • Genesis 11 (KJV)


  • The Tower of Babel from the Brick Testament.

  • Babel In Biblia: The Tower in Ancient Literature by Jim Rovira

  • Is there archaeological evidence of the Tower of Babel?-Christian Source.

  • Our People: A History of the Jews - The Tower of Babel

  • Livius.org: The tower of Babel


  • Tower of Babel envisioned by science fiction artist Frank Wu



Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mnara_wa_Babeli&oldid=928724"





Urambazaji

























(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.020","walltime":"0.028","ppvisitednodes":"value":49,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":347,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":29,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":3,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 5.020 1 Kigezo:Commonscat","100.00% 5.020 1 -total"],"cachereport":"origin":"mw1249","timestamp":"20190223113340","ttl":2073600,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":93,"wgHostname":"mw1267"););

Popular posts from this blog

ValueError: Error when checking input: expected conv2d_13_input to have shape (3, 150, 150) but got array with shape (150, 150, 3)2019 Community Moderator ElectionError when checking : expected dense_1_input to have shape (None, 5) but got array with shape (200, 1)Error 'Expected 2D array, got 1D array instead:'ValueError: Error when checking input: expected lstm_41_input to have 3 dimensions, but got array with shape (40000,100)ValueError: Error when checking target: expected dense_1 to have shape (7,) but got array with shape (1,)ValueError: Error when checking target: expected dense_2 to have shape (1,) but got array with shape (0,)Keras exception: ValueError: Error when checking input: expected conv2d_1_input to have shape (150, 150, 3) but got array with shape (256, 256, 3)Steps taking too long to completewhen checking input: expected dense_1_input to have shape (13328,) but got array with shape (317,)ValueError: Error when checking target: expected dense_3 to have shape (None, 1) but got array with shape (7715, 40000)Keras exception: Error when checking input: expected dense_input to have shape (2,) but got array with shape (1,)

Ружовы пелікан Змест Знешні выгляд | Пашырэнне | Асаблівасці біялогіі | Літаратура | НавігацыяДагледжаная версіяправерана1 зменаДагледжаная версіяправерана1 змена/ 22697590 Сістэматыкана ВіківідахВыявына Вікісховішчы174693363011049382

Illegal assignment from SObject to ContactFetching String, Id from Map - Illegal Assignment Id to Field / ObjectError: Compile Error: Illegal assignment from String to BooleanError: List has no rows for assignment to SObjectError on Test Class - System.QueryException: List has no rows for assignment to SObjectRemote action problemDML requires SObject or SObject list type error“Illegal assignment from List to List”Test Class Fail: Batch Class: System.QueryException: List has no rows for assignment to SObjectMapping to a user'List has no rows for assignment to SObject' Mystery